1. Pazia limeondolewa katika Kristo. 2 Wakorintho 3:14 - "... hata leo, pazia lile lile linaposomwa agano la kale; halijaondolewa;
1. The veil is removed in Christ. 2 Corinthians 3:14 - "…to this day the same veil remains when the old covenant is read. It has not been removed, because only in Christ is it taken away."
2. Tumeletwa karibu katika Kristo. Waefeso 2:13 - "Lakini sasa katika Kristo Yesu ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu ya Kristo." 3. Tumeokolewa katika
2. We are brought near in Christ. Ephesians 2:13 - "But now in Christ Jesus you who once were far away have been brought near through the blood of Christ.”
3. Kristo 2 Timotheo 2:10 - "Kwa hiyo nastahimili yote kwa ajili ya wateule, ili wao nao waupate wokovu ulio katika Kristo Yesu, pamoja na utukufu wa milele." Kristo Warumi 3:23-24 - "….kwa maana
3. We are saved in Christ. 2 Timothy 2:10 - "Therefore I endure everything for the sake of the elect, that they too may obtain the salvation that is in Christ Jesus, with eternal glory."
4. tunahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi uliokuja kwa njia ya Kristo Yesu."
4. We are redeemed in Christ. Romans 3:23-24 - "….for we are justified freely by His grace through the redemption that came by Christ Jesus."
5. Ndugu, ninyi nanyi mmeifia sheria kwa njia ya mwili wa Kristo, mpate kuwa mali ya mwingine, yeye aliyefufuka katika wafu, ili tumzalie Mungu matunda.”
5. We are freed from the Law in Christ. Romans 7:4 - "So, my brothers, you also died to the law through the body of Christ, that you might belong to another, to Him who was raised from the dead, in order that we might bear fruit to God."
6. Tumefanywa kuwa hai kwa Mungu katika Kristo Warumi 6:11 - "…jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi, bali walio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu.
6. We are made alive to God in Christ. Romans 6:11 - "…count yourselves dead to sin but alive to God in Christ Jesus."
7. Tunao uzima wa milele katika Kristo; watatawala kwa haki hata uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu."
7. We have eternal life in Christ. Romans 5:21 - "…just as sin reigned in death, so also grace might reign through righteousness to bring eternal life through Jesus Christ our Lord."
8. Tumekombolewa kutoka katika dhambi katika Kristo. Warumi 8:1 - "Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu, wasioenenda kwa kuufuata mwili. , bali kwa Roho.”
8. We are rescued from sin in Christ. Romans 8:1 - "There is therefore now no condemnation to them which are in Christ Jesus, who walk not after the flesh, but after the Spirit.”
9. Tumepatanishwa katika Kristo. Warumi 5:11 - "Si hivyo tu, bali pia tunafurahi katika Mungu kwa Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa yeye sasa tumeupokea upatanisho."
9. We are reconciled in Christ. Romans 5:11 - "Not only is this so, but we also rejoice in God through our Lord Jesus Christ, through Whom we have now received reconciliation."
10. Tunavua asili ya dhambi ndani ya Kristo. Kol. 2:11 - "Katika yeye mmetahiriwa, kwa kuuvua utu wa dhambi; si kwa tohara ifanywayo kwa mikono ya wanadamu, bali kwa tohara inayofanywa na Kristo."
10. We put off the sinful nature in Christ. Col. 2:11 - "In Him you were also circumcised, in the putting off of the sinful nature, not with a circumcision done by the hands of men but with the circumcision done by Christ."
11. Tumesamehewa katika Kristo. Waefeso 1:6-7 "...Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake."
11. We are forgiven in Christ. Ephesians 1:6-7 - "….In Him we have redemption through His blood, the forgiveness of sins, in accordance with the riches of God's grace.”
12. Tumepewa neema katika Kristo 1Kor 1:4 - "Namshukuru Mungu daima kwa ajili yenu kwa ajili ya neema yake mliyopewa katika Kristo Yesu."
12. We are given grace in Christ. 1 Cor. 1:4 - "I always thank God for you because of His grace given you in Christ Jesus.”
13. Tumehesabiwa haki katika Kristo. 1 Wakorintho 6:11 - "...mlioshwa, mlitakaswa, mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu."
13. We are justified in Christ. 1 Corinthians 6:11 - "…you were washed, you were sanctified, you were justified in the Name of the Lord Jesus Christ and by the Spirit of our God."
14. Tumekubaliwa na Mungu katika Kristo. 1 Petro 2:5 - "Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mnajengwa mwe nyumba ya roho, ukuhani mtakatifu, mkitoa dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo."
14. We are made acceptable to God in Christ. 1 Peter 2:5 - "You also, like living stones, are being built into a spiritual house to be a holy priesthood, offering spiritual sacrifices acceptable to God through Jesus Christ."
15. Tunaombewa ndani na kwa Kristo. Warumi 8:34 “…Kristo Yesu, ambaye alikufa, zaidi ya hayo,ambaye alifufuliwa kwa uzima yuko mkono wa kuume wa Mungu na pia anatuombea.
15. We are interceded for in and by Christ. Romans 8:34 – “…Christ Jesus, who died -- more than that, who was raised to life -- is at the right hand of God and is also interceding for us."
16. Tunapatikana ndani ya Kristo. Fil. 3:8 - "...Nahesabu kila kitu kuwa hasara, ili nimpate Kristo na kuonekana ndani yake."
16. We are found in Christ. Phil. 3:8 - "…I consider everything a loss… that I may gain Christ and be found in Him…."
17. Tumefanywa kuwa haki ya Mungu katika Kristo. Fil. 3:9 “….. nisiwe na haki yangu mwenyewe ipatikanayo kwa sheria, bali ile ipatikanayo kwa imani iliyo katika Kristo, haki ile itokayo kwa Mungu, na ipatikanayo kwa imani.
17. We are made the righteousness of God in Christ. Phil. 3:9 "…..not having a righteousness of my own that comes from the law, but that which is through faith in Christ -- the righteousness that comes from God and is by faith."
18. Tumeitwa katika Kristo. 1 Kor. 7:22 - "Kwa maana yeye aliyekuwa mtumwa alipoitwa na Bwana ni mtu huru wa Bwana; kadhalika naye aliyekuwa mtu huru alipoitwa ni mtumwa wa Kristo."
18. We are called in Christ. 1 Cor. 7:22 - "For he who was a slave when he was called by the Lord is the Lord's freed man; similarly, he who was a free man when he was called is Christ's slave."
19. Tumechaguliwa na Mungu katika Kristo. Waefeso 1:4-5 - "Kwa maana alituchagua katika yeye kabla ya kuumbwa ulimwengu ili tuwe watakatifu na watu wasio na hatia mbele zake..."
19. We are chosen by God in Christ. Ephesians 1:4-5 - "For he chose us in Him before the creation of the world to be holy and blameless in His sight…"
20. Tumeimarishwa katika Kristo. 2 Wakor.1:21 - "Basi Mungu ndiye anayetufanya sisi na ninyi kusimama imara katika Kristo..."
20. We are established in Christ. 2 Cor.1:21 - "Now it is God who makes both us and you stand firm in Christ…"
21. Tumetiwa muhuri katika Kristo. Waefeso 1:13 - "...mkiisha kumwamini, mlitiwa muhuri ndani yake, yule Roho Mtakatifu aliyeahidiwa."
21. We are sealed in Christ. Ephesians 1:13 - "…Having believed, you were marked in Him with a seal, the promised Holy Spirit."
22. Tumetakaswa katika Kristo. 1 Wakor.1:2 - "...kwa wale waliotakaswa katika Kristo Yesu na walioitwa wawe watakatifu, pamoja na wote wanaoliitia Jina la Bwana wetu Yesu Kristo kila mahali --"
22. We are sanctified in Christ. 1 Cor.1:2 - "…to those sanctified in Christ Jesus and called to be holy, together with all those everywhere who call on the Name of our Lord Jesus Christ --"
23. Tunapata utakatifu katika Kristo. 1 Wakor.1:30 - "Ni kwa ajili yake ninyi mmekuwa ndani ya Kristo Yesu, aliyefanyika hekima yetu itokayo kwa Mungu ... haki, utakatifu na ukombozi."
23. We achieve holiness in Christ. 1 Cor.1:30 - "It is because of Him that you are in Christ Jesus, who has become our wisdom from God…righteousness, holiness and redemption."
24. Tumeketi katika ulimwengu wa roho ndani ya Kristo. Efe. 2:6-7 - "Na Mungu alitufufua pamoja na Kristo, akatuketisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho, katika Kristo Yesu."
24. We are seated in heavenly places in Christ. Eph. 2:6-7 - "And God raised us up with Christ and seated us with Him in the heavenly realms in Christ Jesus."
25. Tumetukuzwa katika Kristo. 2 Wathesalonike 1:12 - "Tunaomba kwamba Jina la Bwana wetu Yesu litukuzwe ndani yenu, nanyi ndani yake, kwa neema ya Mungu wetu na ya Bwana Yesu Kristo."
25. We are glorified in Christ. 2 Thessalonians 1:12 - "We pray that the Name of our Lord Jesus may be glorified in you, and you in Him, according to the grace of our God and the Lord Jesus Christ."
26. Tunapokea ushindi juu ya kifo katika Kristo. 1 Kor. 15:57 - "...Lakini Mungu na ashukuriwe, atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo."
26. We receive victory over death in Christ. 1 Cor. 15:57 - "…But thanks be to God! He gives us the victory through our Lord Jesus Christ."
27. Sisi si watumwa wa dhambi tena. Warumi 6:22 “Lakini sasa mmewekwa huru mbali na dhambi na mmekuwa watumwa wa Mungu; faida mtakayovuna ni utakatifu, na matokeo yake ni uzima wa milele.
27. We are no longer slaves to sin. Romans 6:22 - “But now you have been set free from sin and have becomes slaves to God, the benefit you reap leads to holiness, and the result is eternal life.”
28. Dhambi zetu hazihesabiwi tena juu yetu. Warumi 4:8 - "Heri mtu yule ambaye Bwana hatamhesabia dhambi yake kamwe."
28. Our sins are no longer counted against us. Rom.4:8 - “Blessed is the man whose sin the Lord will never count against him.”
29. Tuna amani na Mungu. Warumi 5:1 - "Basi tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na mwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo."
29. We have peace with God. Romans 5:1 - “Therefore, since we have been justified through faith, we have peace with God through our Lord Jesus Christ.”
30. Tuna amani ya Yesu. Yohana 14:27 - “Amani nawaachieni, amani yangu nawapa…”
30. We have Jesus’ peace. John 14:27 - “Peace I leave with you, My peace I give to you…”
31. Tuna kuzaliwa upya na tumaini la urithi wa milele. 1 Petro 1:3-5 "... Naye ametuzaa upya katika tumaini lililo hai kwa kufufuka kwake Yesu Kristo katika wafu, na kuingia katika urithi usioharibika, wala usioharibika, wala kunyauka, uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu;"
31. We have a new birth and a hope of an eternal inheritance. 1 Peter 1:3-5 - “…He has given us new birth into a living hope through the resurrection of Jesus Christ from the dead and into an inheritance that can never perish, spoil or fade, kept in heaven for you…”
32. Tumepewa asili ya kimungu (tabia). 2 Pet. 1:4 - “… Naye ametukirimia ahadi zake kuu, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kushiriki katika tabia ya Uungu…”
32. We have been given the divine nature (disposition). 2 Pet. 1:4 - “…He has given us His very great and precious promises, so that through them you may participate in the divine nature…”
E. Weeks ©CDMI